Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 24, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA MAJI NALASI -TUNDURU

D92A0142
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua maji katika kisima kuashiria kuzindua rasmi mradi wa naji katika kata ya Nalasi wilayani Tunduru leo.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Chande Bakari Nalicho,Wapili kulia anayepiga makofi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu na kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.



D92A0174
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kata ya Nalasi Rehema Kassim Yakubu wakati alipokwenda kuzindua mradi wa maji katika kata hiyo iliyopo katika wilaya Tunduru leo.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment