Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi
chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa
wameanza kucheza michezo yao tangu wakiwa watoto.Kwenye picha hizi kuna watu
kama Cristiano Ronaldo,Lebron James,Lewis Hamilton,Tiger Woods,Michael Owen na
wengine.
Neymara
David Beckham
Michael Owen
Lewis Hamilton
Diego Maradon
Messi
Lebron James
Tiger Woods
Serena na Venus
Christiano Ronaldo
No comments:
Post a Comment