Pages

Friday, July 4, 2014

TAZAMA PICHA 2 ZA DAVIDO AKIWA AMEVAA HEADPHONE ZA DHAHABU ZENYE GHARAMA KUBWA



Msanii kutoka pande za Naija aka Nigeria Davido aka Mr. Awards baada ya kuchukua tuzo za MTV MAMA kama best male na ingine ile ya BET tuzo zote zikiwa ni  za mwaka 2014.
Davido ameanza kuonyesha uwezo wa kipesa baada ya kununua headphone yenye dhahabu aina ya 24-carat gold.
Pamoja na kufanya muziki  na inavyosemekana unaweza kuwa juu kifedha si kwa Nigeria tu bali kwa Bara la Afrika pia.
According to the ranking, apart from managing his own HKN label, the Aye crooner was said to pocket nothing less than N3 million per show.


No comments:

Post a Comment