Mh Freeman Mbowe akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Arusha Mjini,amewaeleza umuhimu wa kufanya uchaguzi sahihi wa viongozi wa ngazi ya Jimbo |
Mh
Freeman Mbowe akimkabidhi Katibu (Arusha Mjini) aliye maliza muda wake
ndugu Martine Sarungi cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya
CHADEMA MSINGI
Matokeo ya kura kwa nafasi mbalimbali za uongozi yalikuwa kama ifuatavyo
Wajumbe wa kamati tendaji
Daudi Safari - 60
Haika Alex - 20
Margaret Samson – 123 (amekuwa mjumbe)Tumainiel Wilbald – 90 (amekuwa mjumbe)Kitumbizi Bahati – 103 (amekuwa mjumbe)Francis Chuma – 130 (amekuwa mjumbe)Heriery Humphrey - 20
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa
Issaya Doita - 36
James Lyatuu – 105 (amekuwa mjumbe)
Mweka Hazina
Nsajigwa Mwakatobe - 133
Katibu Mwenezi
Gabriel Lucas Kivuyo – 138
Katibu wa Jimbo
Mosses Nanyaro - 45
Lewis Kopwe-92 (Katibu)
Mwenyekiti Jimbo
Kalist Lazaro - 31
Magoma Dereck – 108 (Mwenyekiti)
Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa akiwaelekeza wajumbe wa mkutano mkuu taratibu na kanuni za Uchaguzi
Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Jenipher Kauseria cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI
Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Francis Chuma cheti cha Pongezi na kofia kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Arusha Mjini
Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia usiokuwa na rushwa, vurugu wala hujuma ya aina yeyote
Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA Akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia. Picha hizi na Bw Makabayo, Ofisa wa Chadema Kanda ya Kaskazini
MATUKIO YA AWALI NA NJE YA UKUMBI
Mwenyekiti Mteue wa Jimbo la Arusha Mjini, Bw Derick Magoma katika kusalimiana na muasisi wa Chadema Mzeee Edwin Mtei wakati anawasili kufungua chaguzi za mabaraza ya chama
Wagombea waliokuwa wakiwania nafasi ya kuwakilisha Jimbo kwenye Mkutano Mkuu, Mh Doita kushoto na Mwanasheria James Lyatuu wakitambiana kabala ya uchaguzi. Baadae James aiibuka mshindi kwa kura 105 kwa 36.
Baadhi ya wazee wa chama wakiwasili na kusalimiana na wanachama wengine
Mwanasheria James Lyatuu akifanya mazungumzo na wagombea wengine wa nafasi ya Ujumbe Kamati Tendaji; Magreth Samson na Daudi Safari
Wajumbe wakitambulishana
Bw George kushoto kutoka kitengo cha Intelijensia ya Chadema akibadilishana mawazo na Dereva wa Mbunge Lema, Haleluya Natai kulia na Bw Tumainiel Wilbald (katikati) ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Tendaji
Baadhi ya wagombea wakikumbushia masualambalimbali ya chama kama yalivyoelekezwa na Katiba ya chama kabla ya kuingia ukumbini kujieleza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya
Zoezi la Usaili wa wajumbe chini ya aliyekuwa mwenyekiti wa Vijana Hai, Bi Doris Cornel. Doris kwasasa yupo likizo ya masomo akitokea nchini Switzerland
Timu ya wanahabari wa Chadema Arusha wakifurahia jambo na Mwanasheria James Lyatuu kabla ya vikao vya uchaguzi kuanza
Aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA, Bw Innocent Kisanyange akihojiwa na Mwandishi Ferdnand Shayo mara baada ya kutangazwa mshindi
Washindani wakuu kwa nafasi ya Mwenyekiti Bw Kalist Lazaro almaarufu kama Bush (kushoto) na Derick Magoma katikamazingira ya kutambiana kabla ya uchaguzi. Hitimisho lilikuwa ni Magoma kuibuka mshindi katika nafasi hiyo ya Mwenyekiti wa Wilaya
Baadhi ya vifaa mbalimbali vyenye nembo ya chama vikiwa sokoni
Mwenyekiti mpya wa BAVICHA Wilaya Innocent Kisanyange na Katibu wake Glory Kaaya katika picha ya pamoja mara baada ya kuibuka washindi
Ofisa Uchaguzi kutoka ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Bw Kingu akitoa maelekezo kwa baadhi ya wajumbe wapigakura na wagombea kala ya zoezi husika kuanza
Mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti Wilaya ya Arusha Mjini, Bw Magoma (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema
Mjumbe wa Kamati ya Chadema ni Msingi, Daniel Urioh (kushoto) kabla ya uchaguzi. Urioh aligombea nafasi ya Katibu wa Bavicha Wilaya lakini mchuano ulikuwa mkali na Glory Kaaya kuweza kuibuka mshindi
Glory Kaaya (kulia) ambaye ameshinda nafasi ya Katibu wa BAVICHA Wilaya akifurahia jambo na aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti BAVICHA Wilaya, Bw Damuni Melamari ambaye kura zake hazikutosha kumtanganza mshndi. Uchaguzi wa ngazi hiyo ulilazimu kurudiwa mara tatu ili kupata mshindi baada ya washindani kuwaribiana sana.
Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei akisalimiana na wanachama mara baada ya kuwasili eneo la mkutano kuzindua chaguzi za mabaraza!
Mbunge wa Arusha Mjini akitoa maelezo yake kwa Afisa wa Kanda, Bi katika zoezi la uandikishaji wajumbe wa kushiriki mkutano husika
Wajumbe wawili wa Kamati Tendaji katika picha ya pamoja kabla ya uchaguzi wao kufanyika. Kushoto ni Kitumbwizi Bahati ambaye pia ni Katibu wa Redbrigade wa Chama.
PICHA ZOTE NA MAELEZO: SERIA WA ARUSHA255
Huu ndio Uongozi mpya wa Arusha Mjini ulio Chaguliwa katika uchaguzi huru na wa kidemokrasia. Mstari wa mbelw kutoka kushoto, Mwenyekiti Derick Magoma; Katibu wa Jimbo Bw Lewis Kopwe, Katibu Mwenezi Bw Gabriel Kivuyo,; Mweka Hazina wa Jimbo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Mwanasheria James Lyatuu.

No comments:
Post a Comment