Mashambulizi: Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha
dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa
Maccabi Haifa
Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha
dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa
Maccabi Haifa
Waandamanaji waliwavamiwa wachezaji wa Maccabi Haifa na
kusababisha mechi kuahirishwa.
Kula buti kwanza kijana!: Waandamanaji wanaoiunga mkono
Palestina waliwavamiwa wachezaji wa
Maccabi Haifa
MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya
Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa
uwanja.
Waandamanaji hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki
waliingia katika uwanja wa Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na
kuwavamia wachezaji wa Maccabi na kuzua vurugu.
Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya
kuanza kurushiana makonde mazito.
Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani
bila kujeruhiwa.
Tukio hili limekuja wakati huu ambao majeshi ya Israel
yamevamia na kufanya uhalifu dhidi ya majeshi ya Hamas huko Gaza.
No comments:
Post a Comment