Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete kupitia ukurasa wake wa facebook ameweka picha yake ya miaka 10 iliyopita na kusema maneno haya
Growing
up in the party (CCM). Mwisho kulia nikiwa na umri wa miaka 13, miaka
22 iliyopita (mwaka 1992) katika mkutano wa Chipukizi wa Chama Cha
Mapinduzi mkoani Mbeya
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa
Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackso amefanya ziara katika Ofisi za
za Ubalozi Tanzania katika Umoja wa Mataifa (UN), zilizopo Jijini New York,
Marekani.
-
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa
Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 11 Februari 2025,
a...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment