Pages

Friday, July 18, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA:::HOUSE BOY AUA MTOTO WA MWAJIRI WAKE NA KULA UBONGO WAKE, NAE AJIKATA UUME WAKE NA KUULA. AFIA HOSPITALI MOSHI.


Baba mmoja amchinja mtoto huko Himo Kisa kuutoa ubongo na kuula na kukata sehemu za siri za mtoto huyo wa darasa la tano Baadae akajikata sehemmu za siri


Hii story imeongelwa leo kwenye kipindi cha HekaHeka kinacho rushwa na Clouds FM. Dah jamani kumbe huyu mkaka alikuwa ni house boy wa mtu huko Moshi na toka jana alionyesha dalili za kurukwa akili akaanza kupasua vioo. 
 
Sasa naskia asubuhi ya leo huyu jamaa kamkata mtoto wa nyumba hiyo na panga kichwani kama nazi akaanza kula ubongo wake na yeye akajikata uume wake pia akaula. Polisi walifika na kumchuka kumfikisha hospitali baada ya muda akafariki. Jamani tuweni makini na hawa watu tunao wachukua kutisaidia majumbani kwetu yaani mtoto wa watu kauwawa kikatili sababu ya ignorance maana wangemwahi huyu jamaa toka alipo anza kuvunja vioo jana maybe isinge fikia huku kote. R.I.P mtoto na huyu kaka ambae amefanya mauwaji lakini imegundulika kwamba alikuwa na matatizo ya akili.

No comments:

Post a Comment