Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, August 3, 2014

AJALI YA FUSO NA ROLI YASABABISHA FOLENI KUBWA CHALINZE,JIONEE HAPA

  Hili ni roli lililogongana na fuso eneo la Chalinze na kupelekea foleni kubwa eneo hilo
 Fuso ambalo namba zake hazikufahamika kwa haraka likiondolewa barabarani baada ya kusababisha foleni eneo hilo la Chalinze.
 Wananchi wakishuhudia ajali hiyo kwenye eneo la Chalinze

 

 Hizi chini ni picha za magari yakiwa kwenye foleni kubwa iliyosababishwa na ajali iliyotokea eneo la Chalinze leo mchana.





No comments:

Post a Comment