Hii ndio stage ambayo AY na wenzake watatumbuiza
“Jana (juzi) ilikuwa ni tour ya kwenda white house na nini, kuelezewa mambo ya mule ndani na baadaye usiku tukafanya rehearsal mpaka usiku wa manane,” AY aliiambia Bongo5 jana. “Leo (jana) sasa ndo kila kitu, watu tunakutana kwaajili ya kujadili na baada
ya hapo tutafanya show leo usiku. Chochote kitakachojadiliwa nitawajuza. Kesho pia ni kuna mkutano mwingine, pia viongozi mbalimbali marais wako hapa wanawasili na mwenyeji mkuu yuko hapa, kesho pia kutakuwa kuna dinner white house,”
alisema.
Afya : Wadau washauri Bajeti mtazamo wa kijinsia kusaidia watoto Njiti
-
Na Deogratius Temba, Dar es salaam
Mtandao wa Haki ya afya ya uzazi umeshauri Serikali kutenga bajeti yenye
mtazamo wa Kijinsia katika sekta ya afya ili...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment