TAKRIBANI watu 150 wamepoteza maisha huku 1,400 wakijeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea katika Jimbo la Yunnan lililopo kusini-magharibi mwa China leo. Tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa richa 6.5 limesababisha kubomoka kwa majengo yakiwemo mashule.
Jengo likiwa limeharibiwa na tetemeko hilo lililotokea leo.
Mtoto aliyepoteza maisha katika tetemeko hilo.
Uharibifu uliosababishwa na tetemeko hilo.
No comments:
Post a Comment