Ajali imetokea maeneo ya Mlimani City jijini Dar ikihusisha
magari mawili Lori la mafuta na gari dogo aina ya Toyota Corrolla lenye namba
za usajili T 716 ARY.
Lori hilo lilikuwa likitokea Ubungo kwenda Mwenge na gari dogo lilikuwa likitokea Mwenge kwenda
Survey. Katika ajali hiyo akuna aliyepoteza maisha wala
kujeruhiwa.
Picha na Global Whatsapp
No comments:
Post a Comment