Pages

Tuesday, August 26, 2014

HOT NEWSSSS::BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAGONGANA USO KWA USO NA LORI!

Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha.
Raia wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea.


 Na waandishi wetu
 Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha.

No comments:

Post a Comment