Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 19, 2014

KINDA LA MAN UTD LINGARD NAYE SASA ATEMBELEA MAGONGO


Kiungo wa Manchester United, Jesse Lingard akiondoka kwa msaada wa magongo kutoka hospitali ya Bridgewater, ambako alikwenda kutibiwa mguu wake wa kulia baada ya kuumia juzi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Swansea City Uwanja wa Old Trafford. United ilifungwa 2-1 na beki huyo anaungana na majeruhi wengine wa klabu hiyo mwanzoni mwa msimu, Jonny Evans, Rafael, Luke Shaw, Antonio Valencia, Danny Welbeck, Anderson na Michael Carrick.

No comments:

Post a Comment