Pages

Tuesday, August 19, 2014

PICHA KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA.APEWA KIPIGO CHA MAANA NA RAIA JIONEE HAPA



 Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.


Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo.
Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni. 

No comments:

Post a Comment