Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. PICHA ZOTE/IKULU
|
Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Mabhut Shabiby akimkaribisha Rais Kikwete kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. |
Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. |
Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
|
Rais Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
|
Rais Kikwete akiawaaga wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. |
No comments:
Post a Comment