Pages

Wednesday, August 27, 2014

SAMWELI ETOO ATUA EVERTON RASM JIONEE HAPA




Everton wamemsajili Samuel Eto'o kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kuondoka Chelsea msimu uliopita.
Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Cameroon, 33, amejiunga kama mchezaji huru na anaungana na Romelu Lukaku waliokuwa pamoja Chelsea.
Boss wa Everton Roberto Martinez amesema: "Nilikutana naye na tukawa na mazungumzo mazuri. Nilivutiwa sana na njaa ya kucheza soka ambayo bado anayo.
"Tumefurahishwa sana na nadhani Everton ni makazi yake mazuri."

No comments:

Post a Comment