Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na
wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume,
Akutwa na silaha hizi
[image: Default] Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi
Aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ambaye alikamatwa na
silaha mbili za moto na risasi 412, nyumbani kwake Chukwani hivi karibuni.
Zanzibar. Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Amani Abeid
Karume jana alifika Kituo cha Polisi Madema kumjulia hali shemeji yake,
aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ambaye alikamatwa na
silaha
USHINDI BAB’KUBWA KUPITIA KAMPENI YA MALIPO YA KIDIGITALI ‘TAP KIBINGWA’ YA
STANBIC
-
Benki ya Stanbic Tanzania yazindua kampeni ya “Tap Kibingwa” ili
kuhamasisha malipo ya kidigitali kupitia Kadi za Visa Debit.
Akizungumza wakati wa...
20 minutes ago
No comments:
Post a Comment