Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 28, 2014

SIMBA YAIPIGA MAFUNZO GOLI 2 KWA BILA ZANZIBAR

 Mshambulioaji wa timu ya Mafunzo akijiandaa kuzuiya mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Simba imeshinda 2--0. dhidi ya mafunzo.
Mbambuliaji wa timu ya mafunzo akiweka majaro golini kwa timu ya Simba mchezo muliofanyika uwanja wa amaan jioni 





 Mbambuliaji wa timu ya mafunzo akimpita beki wa timu ya simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan jioni leo. simba imeshinda 2--0.


























 Mbambuliaji wa timu ya mafunzo akiweka majaro golini kwa timu ya Simba mchezo muliofanyika uwanja wa amaan 

No comments:

Post a Comment