Katika boti hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi
kavu kucheza golf na kumrudisha Ni tajiri namba moja duniani mwenye utajiri
unaofikia dola bilioni 79.2 hivyo kutumia shilingi bilioni nane kwa wiki si
kitu kinachoweza kumpunguzia chochote Bill Gates.Na ndio maana Bill Gates yupo
mapumzikoni ambayo tunategemea kwa mtu tajiri zaidi duniani ayafanye.
Tajiri huyo amekodi meli binafsi maarufu yacht ambayo
analipa dola milioni 5 (zaidi ya shilingi bilioni 8) kwa wiki.
The Serene Gates yupo kwenye boti hiyo kubwa na mke wake
Melinda na watoto wake Rory, Jennifer na Phoebe nchini Italia. Mwanzilishi huyo
wa Microsoft ameamua kupumzika kwa kukodi yacht hiyo iitwayo The Serene yenye
ukubwa wa futi 436 inayomilikiwa Yuri Scheffler.
Muonekano wa sehemu moja wapo ya ndani
No comments:
Post a Comment