Pages

Wednesday, August 27, 2014

TAZAMA PICHA MSANII BELE 9 AKIWA UNIVERSAL STUDIO NCHINI UJERUMANI

Belle 9 bado yupo nchini Ujerumani alikoenda kwa mapumziko mafupi. Akiwa jijini Berlin nchini humo, hitmaker huyo wa ‘Masogange’ alitua kwenye makao makuu ya miongoni mwa label kubwa dunia, Universal Music Group tawi la Ujerumani.


UMG ni labal kubwa yenye label zingine ndogo ndani yake ambazo ni pamoja na Interscope Records, Geffen Records na A&M Records na zingine.

Belle ameiambia Bongo5 kuwa alienda kwenye ofisi hizo kuonana na producer ambaye anafanya kazi hapo. “Nataka nifanye naye ngoma,” amesema. “Pia jamaa ana connection ya jinsi ya kupeleka ngoma hapo.”

No comments:

Post a Comment