Kuna hii makala nimeletewa. Sijui kama ilishawahi kuwepo
hapa. Ni ndefu kidogo (video) ila kweli inaleta kizunguzungu ukiisikia. Sijui
ma Drs mnasemaje juu ya hili swala.
Kumbe Tanzania ndiyo center ya AIDS Africa? Lohhh, nilikuwa
sijui. Jitahidini hata msio Madokta msikilize kwani wamelielezea vizuri sana.
Ila ukweli hata mie sijui. Na kama ni kweli basi hii ni Weapon of Mass
Destruction kubwa kuliko hata Fussion bomb la Mrusi.
VIDEO:
No comments:
Post a Comment