Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 27, 2014

TAZAMA PICHA ZA PRIVATE JET ALIYONUNUA MSANII DAVIDO

 Mwimbaji  Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezesha kumiliki private Jet yake.
 Kama wewe unamfollow Davido kwenye Instagram 


yake bila shaka utakuwa shahidi kuwa ‘Skelewu’ hit maker anapiga show nyingi sana sababu post zake nyingi huwa ni kuhusu safari za show.
Weekend iliyopita alipost picha akiwa kwenye private Jet hiyo kabla ya safari ya kuelekea Togo kwenye show nyingine.

No comments:

Post a Comment