Mbunge wa jimbo la Mpanda Kati (Chadema) Said Arfi akijisajilli katika orodha ya wajumbe wanaoshiriki Bunge la Rasimu ya Katiba mpya mjini Dodoma wakati hivi sasa bunge hilo linaendelea na vikao . Kulia ni Mfanyakazi wa Bunge Jamhuri ya Muungano,Lweli Lupondo.
|
No comments:
Post a Comment