Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila
kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya
ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu Mwili
ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yako yote, na usipokuwa sawa basi
hutaweza kutimiza lengo lako lolote! Hivi ni yakula kadhaa vinavyoweza
kukusaidia kuongeza kinga ya Mwili wako.
1.Yogurt (yogati):
Hutengenezwa kwa kutumia maziwa ya ng’ombe na kimea, hupatikana kwa ladha mbalimbali kulingana na matakwa yako, yogati pengine ndio chakula kinachoongoza kwa kuogeza Kinga ya mwili wako.

2 Matunda:
Yanapatikana sehemu yoyote duniani kwa bei unazozimudu, katika mlo wako wowote jitahidi usiache kujumuisha angalau tunda la aina moja. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, matunda asiyekula matunda anahatari kubwa zaidi ya kupata magonjwa zaidi ya mlaji wa matunda .

3. Vitunguu saumu:
Hupatikana Kila soko Tanzania. Japokuwa vitunguu saumu vimekuwa vikitumika sana kwa ajili ya matibabu ya magonjwa mbalimbali toka enzi za mababu, wataalamu wameshauri pia vitunguu hivi ni chanzo muhimu kwa kinga ya binadamu. Vitumie kwa kutafuna (kama unaweza) au weka kwenye chakula.
ENDELEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
4. Uyoga:

Usishangae! Ndio.. hiki ni moja ya
vyakula muhimu zaidi kuimarisha afya yako kwani huchangia kiasi kikubwa
kuimarisha seli nyeupe za damu zinazofanya kazi ya kupambana na magonjwa
mbalimbali!
5. Supu ya kuku:
Wengi watahisi ni gharama lakini si kubwa kuzidi gharama ya kumuona daktari! Unywaji wa supu ya kuku ya moto husaidia kuzuia kupungua kwa seli nyeupe za damu vilevile hupunguza uwezekano wa kupata matatizo yanayohusiana na mapafu na mfumo wa hewa kiujumla.

6.Viazi vitamu (mbatata)
Unaweza kuhisi ngozi sio sehemu ya muhimu katika kinga ya binadamu lakini ukweli ni kwamba ngozi ni sehemu ya muhimu sana kwa mwili wa binadamu. Kwa kinga kamili ya mwili wa binadamu tunahitaji Vitamin A ambayo hupatikana kwa wingi kwenye viazi vitamu.

7.Karoti
Karoti zina ziada kubwa ya vitamin pengine kuliko tunda lolote lile hivyo jitahidi kujumuisha karoti kama kiungo kwenye chakula au unaweza kuitafuna ikiwa mbichi.

8. Samaki
Husaidia seli nyeupe kuzalisha ctokins zinatohusika kuzuia baadhi ya magonjwa yanayosababishwa na virusi hasa yale yanayohusiana na mfumo wa hewa nk.

9. Matikiti
Wengi Hudharau lakini tunda hili ni muhimu sana katika afya
ya kila siku ya binadamu kwani husaidia kuongeza kiasi cha maji mwilin, madini
chuma na kuimarisha seli nyeupe za damu.
No comments:
Post a Comment