Pages

Friday, August 1, 2014

VIONGOZI WA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)WATOA TAMKO LA LAO KUHUSU WITO ULIOTOLEWA NA VIONGOZI WA DINI KUWATAKA WAREJEE BUNGENI



Viongozi wakuu wa Umija wa katiba ya wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kutoa Tamko la Ukawa kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni kutoka kulia ni profesa Sfari katibu mkuu wa NCCR mageuzi Mosena Nyambabe ,mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe ,Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba,Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Jaqmes Mbatia na katibu mkuu wa Chadema Wilbrod Slaa , mbunge sakaya na Itatiro wakiwa nje ya makao makuu ya cuf

 
viongozi wa ukawa kulia ni mwenykiti wa umoja wa katiba ya wananchi ukawa profes Ibrahim Lipumba na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowewakitoka katika ofisi kuu ya cuf wakielekea katika chumba cha mkutano tayari kuongea na wandishi wa habari kuhusu tamko lao kuhusu viongozi wa dini kuwataka warejee bungeni


Mwenyekiti wa Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katika)akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habar kutoa Tamko kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni kushoto ni mwenyekiti awa Chadema Freeman Mbowe na kulia ni Mwenyeti wa NCCR mageuzi James Mbatia

No comments:

Post a Comment