Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la
Bumbuli na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba
wakati alipowasili katika
kata ya Mbuzii ambapo ameshiriki katika ujenzi wa ofisi ya tawi la CCM
katika kata hiyo na kuzungumza na wananchi waliojitokeza kumpokea,
Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya kikazi mkoa wa Tanga
akihimiza na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya
mwaka 2010 na kukiiarisha chama akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM, Kero kubwa katika mkutano huo ilikuwa ni kufungwa kwa kiwanda cha Chai cha Mponde ambacho wananchi wanataka warudishiwe ili wakiendeshe wenyewe ,Baada ya mwekezaji Yusuf Mulla kukiuka makubaliano ya kisheria jambo lililopelekea mmoja wa viongozi katika kata hiyo ambaye ni diwani Diwani wa Kata ya Guga Bw. Richard Mbunguni kufukuzwa mkutanoni na wananchi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwa madai ya kuwasaliti katika sakata hilo, Akizungumza na wananchi katika kutano huo Kinana ameahidi kulifuatilia suala hilo kwa ukaribu akisema “Katika hili kila mtu aliyehusika abebe mzigo wake kwa kuwajibika” , ameahidi kurudi Mponde baada ya mwezi mmoja ili kuwapatia majibu sahihi wananchi yatakayomaliza kabisa mgogoro huo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-BUMBULI -LUSHOTO)
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa jimbo la
Bumbuli na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba
alipokuwa akizungumza na jambo wakati alipowasili katika kata ya Mbuzii.Mbunge
wa jimbo la Bumbuli na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh.
Januari Makamba akizungumza na wanapiga kura wake wakati Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaalipowasili katika kata ya Mbuzii.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM
tawi la Mbuzii wakati akiwa katika ziara ya kikazi katikajimbo la
Bumbuli, Kulia anayeangalia ni Mbunge wa jimbo la Bumbuli na Naibu
Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na vijana wa kikundi
cha Bodaboda cha Dule B wakati alipozindua tawi lao na kukabidhi
pikipiki iliyotolewa kwa kikundi hicho na mbunge wa jimbo hilo Mh.
Januari Makamba katikaki pichani na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi
fungua za pikipiki kwa kiongozi wa kikundi cha Dule B Bw.Nuru ambayo
imetolewa na Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanakikundi cha Maisha Plus wakati alipotembelea kikundi hicho leo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
kazi ya kuponda kokoto wakati alipotembelea kikundi cha Maisha Plus
ambacho hii ni moja ya kazi zinazofanywa na kikundi hicho.Nape
Nnauye Katibu wa NEC Siasa. Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi
akishiriki kazi ya kufyatua matofari huku mbunge wa jimbo hilo Mh.
Januari Makamba akishuhudia wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana alipokitembelea kikundi cha wajasiriamali cha Maisha Plus.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa. Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi akiendelea na kazi ya kufyatua matofariKatibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akila muwa na Mwandishi wa habari
wa kituo cha Televisheni cha ITV Ufoo Sari wakati alipotembelea kikundi
cha wajasiriamali cha Maisha Plus jimboni Bumbuli leo miwa hiyo
inazalishwa na kikundi hicho.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiranda mbao huku Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba akishuhudiaKatibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameshiriki pia kuchoma tanuri la
matofari kwa kuwasha moto katika moja ya matundu ya tanuri hilo
anayeangalia ni Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba .Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari MakambaNape Nnauye Katibu wa NEC Siasa. Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Mponde.Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini na Mchumi wa mkoa wa Tanga CCM akiwasalimia wananchi kwenye mkutatano wa hadhara uliofanyika kata ya Mponde jimbo la Bumbuli.Baadhi ya wananchi wakiwa wamefurika kwa wingi katika mkutano huo.Baadhi ya wananchi wakiwa wamefurika kwa wingi katika mkutano huo.Baadhi ya wananchi wakiwa wamefurika kwa wingi katika mkutano huo.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa. Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Mponde.Mbunge
wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba akizungumza na wapiga kura wake
katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mponde jimboni
Bumbuli.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa. Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM akimtoa
katika eneo la mkutano huku akiwa amemshika mkono Bw. Richard Mbuguni
kulia ambaye ni diwani huko Mponde aliyefukuzwa katika mkutano huo wa
hadhara na wananchi kwa madai ya kuwasaliti.
mwaka 2010 na kukiiarisha chama akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM, Kero kubwa katika mkutano huo ilikuwa ni kufungwa kwa kiwanda cha Chai cha Mponde ambacho wananchi wanataka warudishiwe ili wakiendeshe wenyewe ,Baada ya mwekezaji Yusuf Mulla kukiuka makubaliano ya kisheria jambo lililopelekea mmoja wa viongozi katika kata hiyo ambaye ni diwani Diwani wa Kata ya Guga Bw. Richard Mbunguni kufukuzwa mkutanoni na wananchi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwa madai ya kuwasaliti katika sakata hilo, Akizungumza na wananchi katika kutano huo Kinana ameahidi kulifuatilia suala hilo kwa ukaribu akisema “Katika hili kila mtu aliyehusika abebe mzigo wake kwa kuwajibika” , ameahidi kurudi Mponde baada ya mwezi mmoja ili kuwapatia majibu sahihi wananchi yatakayomaliza kabisa mgogoro huo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-BUMBULI -LUSHOTO)
No comments:
Post a Comment