Pages

Monday, September 8, 2014

BREAKING NEWSS....: AJALI NYINGINE TENA YA MABASI YATOKEA MUHEZA, SIMBA MTOTO NA Dar Express yapigana pasi


Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi  maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.
Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi.  Hata hivyo Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi. Tuendelee kuvuta subira.

No comments:

Post a Comment