Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 9, 2014

BREAKING NEWZZZZZ: MOTO WATEKETEZA BWENI SHULE YA AFRICAN MUSLIM MJINI MOSHI ,TUKIO ZIMA LIKO HAPA


 Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo Laloleni manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linateketea kwa moto hivi sasa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema moto huo umeanza majira ya saa 2 za usiku huku chanzo chake bado hakijajulikana na ripota wetu Dixon Busagaga aliye eneo la tukio anafuatilia ajali hii na atatujulisha kila kitachojiri na kupatikana.
Kikosi cha zimamoto kimefanya jitihada za kuzima moto huo licha ya kukabiliwa na changamoto ya maji.CHANZO MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment