HOT NEWSSS::KIFARU CHA JESHI CHAPARAMIA NYUMBA MTWARA NA KUSABABISHA VIFO,TUKIO LIKO HAPA
Ajali nyingine yatokea Mtwara na kudaiwa kuua wanajeshi watatu na
raia mmoja baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa
nyumba iliyokuwa pembezoni.
No comments:
Post a Comment