Pages

Monday, September 15, 2014

KAMPUNI YA ABOOD YAINGIZA MABASI MAPYA‏

Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa mbalimbali ya nchini Tanzania.

Mabasi hiyo  zaidi 50 Yameishaingia Nchini Tanzania  kwa sasa Taratibu za Kutafuta Kibali na Kumalizia uhakiki wake tayari kuanza Kutoa Huduma. Basi hizo ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo itakuwa kampuni ya kwanza barani Afrika kuingiza na kutumia aina hii ya mabasi ya YUTONG.Mabasi hayo ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama mabasi ya awali ya kampuni hiyo!   















No comments:

Post a Comment