Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina
la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa
kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha watu kuangalia
matangazo ya televisheni ya vituo mbalimbali kwa malipo rahisi.
SERIKALI YAKABIDHI MITAJI KWA VIJANA 47 WA BBT- UVUVI KAGERA
-
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Erasto Sima ambaye ni Mkuu wa
Wilaya ya Bukoba, amesema Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kiuchumi
kupiti...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment