Pages

Sunday, September 14, 2014

KIKOSI CHA AZAM FC KINACHOANZA DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII

Azam FC leo inashuka dimbani katika uwanja mkuu wa taifa hapa jijini Dar es salaam kupambana na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Kikosi cha leo ni hiki hapa
1. MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. DAVID MWANTIKA
5. AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO


8. SALUM ABUBAKAR
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE TCHETCHE
11. LEONEL SAINT PREUX
AKIBA
AISHI MANULA
MUDATHIR YAHYA
SAID MORAD
GADIEL MICHAEL
ISMAILA DIARA
MCHA KHAMISI
KEVIN FRIDAY
Mungu ibariki Azam FC! 

No comments:

Post a Comment