Pages
(Move to ...)
Home
IT page
Advertisement
Sports news
comedy zone
Contanct and where we are
JICHO LA CAMERA YANGU
▼
Wednesday, September 17, 2014
Mahari yapigwa marufuku Tororo Uganda
Mahari wilayani Tororo mashariki mwa Uganda yamepigwa marufuku na baraza la wilaya hiyo baada ya kubaini kuwa mahari Inamdhalilisha mwanamke.
Utafiti uliofanywa na asasi isiyokuwa ya kiserikali ya MIFUMI, umeonyesha kuwa mume akilipa mahari anamgeuza mwanamke kuwa mtumwa.
Mwandishi wetu Issaac Mumena alitembelea wilaya ya Tororo na kutuandalia ripoti hii:CHANZO BBC
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment