Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Ghana alipowasili kijijini hapo kwa kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja jana Sept 21-20014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoa kitambaa kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa mnazi wa kumbukumbu baada ya kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Wananchi wa kijiji cha Ghana baada ya kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment