Pages

Monday, September 8, 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

PIX 1.Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
PIX 7,
Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakiendelea kuwasilisha taarifa toka katika kamati zao mbalimbali leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma PIX 8.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Augustino Mrema (kushoto) pamoja na Mhe. Steven Wasira wakiteta jambo wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.


PIX 9,
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali za Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
PIX 9.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akijadiliana na Mzee Kingunge Ngomale Mwiru wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma PIX 10,
Mjumbe wa Kamati namba Tano, Mhe. Asha-Rose Migiro akijadiliana na mjumbe wa kamati nyingine, Mhe. Maua Daftari wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
PIX 11. PIX 16,
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali za Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma. PIX 18
Wanafunzi toka shule ya Sekondari ya Kizota iliyopo mjini Dodoma wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali mara walipotembelea kwenye mafunzo maalum katika bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
PIX 20.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uwasilishwaji wa taarifa katika Bunge Maalum la Katiba leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment