Pages

Tuesday, September 9, 2014

Mh. Lowassa amfariji mzee Ndejembi,kwa kufiwa na mjukuu wake

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na mdogo wa marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam.Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao marehemu alikuwa mjukuu wao.Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa mwanasiasa huyo mkongwe eneo la Uzunguni mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na mjukuu wake huyo.


Mzee Ndejembi akimuelezea Mh Lowassa mkasa mzima wa kifo Cha mjukuu wake, Betty Ndejembi aliyeuawa jijini dar es salaam na watu wasiyojulikana.

No comments:

Post a Comment