Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 9, 2014

MH. PINDA AKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KIBOSHO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment