Hii leo huko nchini Afrika kusini msikiti uliozusha utata
baina ya waumini wa dini ya Kiisilamu mjini Cape Town unatarajiwa kufunguliwa
rasmi. Wadhamini wa Msikiti huo wanasema itakuwa nyumba ya ibada kwa Watu wa
madhebu yote bila kumbagua mtu yoyote,huku baraza la waisilamu
mjini Cape Town
likipinga kuwepo kwa msikiti huo kwa madai kuwa viongozi wa msikiti huo
wanapinga mafundisho ya mtume Mohd - Salalahu Alayhi Wasalam.
No comments:
Post a Comment