Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 10, 2014

Rais Kikwete akagua utayari wa Tanzania kukabiliana na Ebola


Wauguzi Theresia Haule (kulia) na Honoratha Mlunde wakiwekana sawa  mavazi maalumu tayari kutoa huduma katika wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke  jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 ambako Rais Jakaya Mrisho Kikwete alitembelea 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa  abiria  atayekutwa na ugonjwa wa ebola  mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.

 
: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo wakati alipokagua wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke  jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.


No comments:

Post a Comment