Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kushoto akimvisha cheo kipya Meja Jenerali Simon Mumwi, Makao Makuu JWTZ Upanga jijini Dar es salaam,Septemba 17,2014.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kushoto akimvisha cheo kipya Meja Jenerali Gaudence Milanzi
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kushoto akimvisha cheo kipya Meja Jenerali Ndetaulwa Zakayo Makao Makuu JWTZ Upanga jijini Dar es salaam.
Meja Jenerali James Mwakibolwa mara baada ya kuvishwa cheo kipya na Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange hayupo pichani.
---
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mujibu wa Kanuniza Majeshi ya Ulinzi, Aya ya 7.01 Kifungu cha (3) amewapandisha cheo Maafisa Saba (7) kutoka Brigedia Jenerali kuwa Meja Jenerali kuanzia Septemba 12, 2014. Waliopandishwa cheo ni kama ifuatavyo:-
Aidha, Meja Jenerali Milanzi, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) kufuatia nafasi iliyoachwa na aliyekuwa Mkuuwa Chuo hicho Luteni Jenerali Charles Makakala ambaye amestaafu. Kwa mujibu wa sharia baada ya kulitumikiaTaifa kwa uaminifu na uadilifu wa hali ya juu.
Imetolewana
- Brigedia Jenerali Gaudence Milanzi kuwa MejaJenerali.
- Brigedia Jenerali James Mwakibolwa kuwa Meja Jenerali.
- Brigedia Jenerali Ndetaulwa Zakayo kuwa Meja Jenerali.
- Brigedia Jenerali Venance Mabeyo kuwa Meja Jenerali.
- Brigedia Jenerali Simon Mumwi kuwa Meja Jenerali.
- Brigedia Jenerali Issa Nassor kuwa Meja Jenerali.
- Brigedia Jenerali Rogastian Laswai kuwa Meja Jenerali.
Aidha, Meja Jenerali Milanzi, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) kufuatia nafasi iliyoachwa na aliyekuwa Mkuuwa Chuo hicho Luteni Jenerali Charles Makakala ambaye amestaafu. Kwa mujibu wa sharia baada ya kulitumikiaTaifa kwa uaminifu na uadilifu wa hali ya juu.
Imetolewana
Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0783-309963
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0783-309963
No comments:
Post a Comment