Pages

Sunday, September 14, 2014

TAZAMA PICHA 20 JINSI BONDIA MAYWEATHER ALIVYOMCHAKAZA MARCOS MAIDANA

Floyd Mayweather (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Marcos Maidana.
Maidana akijibu mashambulizi wakati wa pambano hilo.
Mayweather akiwasili katika Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas kwa pambano hilo.


Bondia Floyd Mayweather amemchapa tena mpinzani wake Marcos Maidana katika mpambano wao uliopigwa kwenye Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas, Marekani 










No comments:

Post a Comment