Kupitia mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka
stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana
na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala.
Kupitia You heard ya
XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli
Kajala anaweza kumuajiri yeye[Wema],Wema Sepetu
akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu
amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi kwa
Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy
No comments:
Post a Comment