Pages

Saturday, September 6, 2014

Zoezi la Medani la Operesheni Maliza Matata monduli, Arusha

 Badhi ya Taswira za Zoezi la Medani la Operesheni Maliza Matata ambalo limeshirikisha mamia ya wapiganaji na maofisa  ambako zimetumika silaha za moto kwa njia ya ndege za kivita, vifaru, makombora na risasi  kwenye
Sherehe za Miaka 50 ya JWTZ  kwenye eneo la Langururusu, Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha
 Madhara ya shambulio hilo la mazoezi 

 
Kabaaaaang!

No comments:

Post a Comment