Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 13, 2014

AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO,WATU KADHAA WADAIWA KUPOTEZA MAISHA HEDARU.

 Pichani juu ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru Wilayani Same mkoani Kilimanjaro jioni ya jana,ambapo ajali hiyo ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy 



Nation,kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa abiria wote waliokuwemo ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana) walipoteza maisha papo hapo.Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha ajali hiyo ni nini.

No comments:

Post a Comment