Pages

Sunday, October 26, 2014

ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPATA AJALI ENEO UBUNGO

 Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini.
KAMERA ya leo imenasa umati wa watu wakiwa wamemzunguka mwendesha pikipiki, maeneo ya kona ya kuingia stendi mpya ya Simu 2000, maeneo ya Ubungo jijini Dar esSalaam, ambaye alipata ajali na kuumia  sehemu kadhaa za mwili wake.
 Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.



 Daladala iliyojitolea kumsaidia mjeruhiwa.
Kondakta wa daladala akiendesha pikipiki ya majeruhi.

No comments:

Post a Comment