Mr Florenso akaongeza kuwa zaidi ya wajasiriamali wadogo wadogo 100(mia Moja) na Wakubwa 50(hamsini) walishiriki kwenye maonesho hayo hasa lengo kuu ikiwa ni kuonesha aina mbali mbali za vyakula wanavyozalisha hivyo kuweza kujitangaza na kufahamika
Pichani Juu Katikati ni Meneja Masoko wa Hotel za Double Tree By Hilton Bwana Florenso Kirambata kushoto ni mpishi mkuu wa Double Tree Hassan na kulia ni Ayman.
Mpishi Msaidizi wa Hotel ya Double Tree Awadh(kushoto) Akiwa Anapata maelekezo toka kwa Mpishi mwenzake Ayman namna ya kuandaa na kuchanganya vyakula
Mpishi mkuu wa Hotel za Double tree Bwana Hassan akitoa maelekezo kwa wasaidizi wake
Meneja Masoko wa Hotel za Double Tree By Hilton Bwana Florenso Kirambata akiwa na wapishi wa Hotel za Double Tree wakipata maelekezo kwa mmoja wa washiriki wa Maonesho ya chakula
Wapish wa Hotel Za Double Tree Wakiangali moja ya Bidhaa Toka kwa mshiriki wa maonesho ya siku ya chakula
Mwaandaaji mku wa Maonesho hayo wa kwanza Kulia akiwapa maelekezo wapishi wa Hotel za Double Tree
Mpishi msaidizi wa Hotel za Double Tree akiwapa maelekezo wateja waliotembelea banda lao namna chakula cha Hot Dog kinavyotengenezwa
Banda la American Garden Walikuwepo nao kuonyesha Bidhaa zao Tofauti tofauti
Watu mbali mbali wakiendelea kutembelea mbanda tofauti tofauti na kujionea bidhaa
Waudhuriaji wakiendelea kupata vyakula na kufarihia ladha tofauti za vyakula
Wahudhuriaji pia walipata nafasi ya kubadilishana mawazo
Wahudhuliaji wakiendelea kupata ladha tofauti za vyakula
No comments:
Post a Comment