Kama ulifatilia shindano la Miss Tanzania 2014 weekend iliyopita utakua unajua kilichotokea na kinachoongelewa ikiwa ni baada ya baadhi ya watu kupinga au kutoridhishwa na matokeo ya mshindi aliyetangazwa ambae ni Sitti Mtemvu mtoto wa mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu.Kumekuwepo na malalamiko mengi sana hasa kwenye mitandao ya kijamii ambako zimesambazwa hadi picha zake pamoja na hati za kusafiria, ishu nyingine ikizungumzwa kwamba kuna uwezekano amedanganya umri na elimu yake. aliyoyaandika rapper Fid Q kuhusu malalamiko ya Watanzania yanayoendelea juu ya umri wa mrembo huyu.
JAFO AZINDUA MFUMO WA KUTUMIA KAMERA ZA KIDIGITALI NA STIKA YA UTAMBUZI WA
GHALA
-
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akiangalia mfumo
unavyofanya kazi mara baada ya kuzindua Mfumo wa kutumia kamera za
kidijitali na st...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment