Dereva Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wasili Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Lipumba yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara kwa ziara
ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha
wananchi kujitokeza katika daftari la
wapiga kura na vitambulisho vya
taifa
ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha
wananchi kujitokeza katika daftari la
wapiga kura na vitambulisho vya
taifa
Huu ni umati wa watu waliojipanga barabarani kumpokea prof Ibrahim Lipumba
Wakazi wa Tunduru ambao ni wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa chama hicho,Prof
Ibrahim Lipumba
Ibrahim Lipumba
Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi yaMwenyekiti wa chama hicho,Prof
Ibrahim Lipumba
Ibrahim Lipumba
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof
Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma
Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma
Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim Lipumba
Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo akiwahutubia wakazi wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,kutokufanya makosa wakati
wauchaguzi wa serikali za mitaa
uliotangazwa kufanyika Disemba 14 mwaka
huu wahakikishe wanakipigia Chama cha Wananchi CUF
wauchaguzi wa serikali za mitaa
uliotangazwa kufanyika Disemba 14 mwaka
huu wahakikishe wanakipigia Chama cha Wananchi CUF
No comments:
Post a Comment