Pages

Monday, October 20, 2014

MSAFARA WA MAWAKILI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA VIP ENGINEERING AND MARKETING LIMITED KUTOKA ULAYA NA MAREKANI WATINGA KILIMANJARO NATIONAL PARK



  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VIP,  Benedictor Rugemalira  (kushoto), akiwa amesimama  mbele ya lango kuu la hifadhi hiyo na mke wa Wakili  Camilo Schutte kutoka Uholanzi, Lise Schutte, Marangu mkoani Arusha leo hii Oktoba 19-2014. 

 Msafara huo ukiwa katika picha ya pamoja mbele ya lango la kuingia wakati wa kupanda mlima Kilimanjaro.


Msafara huo ukipata historia fupi ya hifadhi hiyo.


 Muongazaji watalii, Davis Yakini (kulia), akitoa maelezo namna ya kupanda Mlima Kilimanjaro na njia za kupitia ambapo alisema inachukua siku sita kufika kileleni. 
 Msafara huo ukipata utaratibu wa kuingia katika hifadhi hiyo. 
 Msafara huo ukipata maelezo zaidi kutoka   kwa Muongazaji watalii, Davis Yakini (hayupo pichani)
 Muongazaji watalii, Davis Yakini (kushoto), akigani mashairi ya historia ya mlima Kilimanjaro mbele ya msafara huo.
 Msafara huo ukianza safari kuelekea geti la kupandia Mlima Kilimanjaro.
 Msafara huo ukielekea geti la kupandia Mlima Kilimanjaro.
 Msafara huo ukipata maelezo kutoka kwa muongazaji watalii, Davis Yakini (Aliyeipa kamera mgongo.
 Watalii wakianza safari ya kupanda mlima  Kilimanjaro.
Madereva wa msafara huo wakiwa katika picha ya pamoja na mtoto wa Dk. Camilo, Kutoka kushoto ni Khalid Chang'a, Yusuf Mofi , Philip Camilo na Hassan Matunga.
 Mawakili hao wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VIP, Benedictor Rugemalira.
Mpiga picha na Mwandishi wa habari wa mtandao wa www. habari za jamii.com Dotto Mwaibale (kulia), akimuelekeza Mwandishi wa gazeti la Daily News, Faustine Kapama jinsi ya kutumia kamera aina ya Canon. Waandishi hao wapo katika msafara wa mawakili hao kwa ajili ya kuchukua taarifa mbalimbali za ziara yao.
Msafara huo ukiwa katika picha ya pamoja baada ya
kutembelea hifadhi hiyo. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)

No comments:

Post a Comment