Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini .
Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.

Msalaba
Sehemu ya waombolezaji.
Waombolezaji na wafiwa
Huzuni
Mjane wa marehemu Bi Getrude Shija mara akiwa na waombolezaji nyumbani Kibamba
Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.
Jeneza lenye mwili wa mareheu Dkt Shija, ambapo baada ya kuwasili na kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo mawaziri, wabunge pamoja na Katibu wa Bunge, mwili huo ulipelekwa nyumbani kwa marehemu, Kibamba. (Picha na Prosper Minja - Bunge)

Askari wa Bunge wakiwa wameubeba mwili wa marahemu Dkt Shija
Jeneza lenye mwili wa mareheu Dkt Shija, ambapo baada ya kuwasili na kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo mawaziri, wabunge pamoja na Katibu wa Bunge, mwili huo ukiwasili nyumbani kwa marehemu, Kibamba jijini Dar es salaam.
Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.
Nyumbani kwa marehemu Kibamba. Picha zote na Prosper Minja - Bunge
No comments:
Post a Comment